Chadema ni kifupi cha neno Chama Cha demokrasia Na Maendeleo. chama hiki kiukweli ni chama imara sana na ni chama kilichofufua watanzania kwa kuweka wazi mambo yalitufanya tuwe vipofu wa maendeleo. (hapa kuna watakao bisha ila huu ndio ukweli).
chama kilichoongoza kwa kutoa wabunge lukuki walioingia. kumi bora ya kutoa michango bungeni wakiongozwa na mh (mb) John Mnyika mbunge wa Ubungo, Tundu Lissu nae hakuwa mbali,pia alikuepo halima mdee na wengne. (hapa ukibisha nitakuambia nitajie wawili waliokamata mkia ni chama gani? tena hawajawahi kutoa hoja hata moja wala kuuliza swali. yan hawajui kama mic za bungeni zinatumika)
Lakini licha ya chama hiki kinachounda kambi ya upinzani bungeni kufanya yote hayo kuna mambo kadhaa mimi kama raia wa Tanzania ambae nitahusika katika kupiga kura naweza kuhoji.
1. Tarehe 31 oct2014 CHADEMA kilizingua mipango miwili, moja ni ePayment ambayo itawezesha wanachana wake na wenye nia njema na chama kukichangia. ila hadi leo hakuna mwendelezo wowote wa ni kiasi gani kimepatikana ili kuweza kudumisha sera ya uwazi. pili ilikuwa ni program ya eMembership Ambayo itasajili wanachama wapya kielectronic pia hakuna mwendelezo.
2.Kuna semi na matamko mengi yamekuwa yakinukuliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA anasema anao ushaidi wa aliehusika na ulipuaji wa bom lililolipuliwa kwenye mkutano wa Chadema Arusha lililogharimu maisha ya wanachama CHADEMA na wakaazi wa Arusha Ila mpaka leo hawajawahi kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili kupata watuhumiwa halisi.
Najua kuna watu mtanishutumu hapa ila wahusika na wenye akili timamu watanielewa na kutoa ufafanuzi