Utambulisho Ni Kitu/ Kifaa Muhimu sana ambacho
kinaaisha uraia na asili ya kitu au mtu.
Kwa nchi yetu ya Tanzania Lugha,Rangi na Kadi za utambulisho (identity card) etc zinatumika
kutambulisha. Katika yote utambulisho unaomata sana ni
Kadi za utambulisho.
Kama nikifanikiwa kuishauri serikali yangu nitaishauri Kama Ifuatavyo..
Kumekuepo na vitambulisho vyingi vinavyofanya kazi zinazoshabiiana mfano
(A) Kitambulisho cha mpiga kura,na
(B)Kitambulisho cha Taifa.
Utengenezaji Wa Vitambulisho vyote hivyi vinatumia gharama kubwa sana.hivyo ni vyema kungekuepo na kitambulisho kimoja ambacho kina sifa ya kumudu kazi zote hizo.
Kwa mfano Bajeti iliyoenda kununua BVR kwa ajili ya kusajili vitambulisho vya mpiga kura ingepelekwa kwa NIDA ili waweze kuharakisha utengenezaji wa vitambulisho vya Taifa ambavyo vitapewa sifa ya kumtambua mwenye sifa ya kupiga kura, mkazi na raia halisi wa Tanzania.
Sio Vyema Mkubali Leo Ila Ni Muhimu Muelewe Leo.