Kwanza niweke interest kuwa mimi pia ni kijana tena ndio kwanza ujana wangu umekucha.nikisema ujana ndio umekucha namaanisha sijamaliza hata robo ya kwanza ya ujana.
Ukifanya uchunguzi kidogo tuu utabini Vijana wa leo sio wa siku tatu zilizopita vivyohivyo na wazee wa leo sio wa jana.ukibisha nitakupa mfano wa halisi" kipindi cha siku za nyuma uchi wa mzazi ukionekana na mwanae ilikua ni laana inatolewa.lakini leo uchi wa baba ukionekana na bintie kitakachoendelea ni kitendo cha wanando. pia baadhi ya mama zetu nao wanatupenda sisi vijana"
Katika kipindi ndani ya maisha kinachohitaji umakini tena umakini wa ziada ni katika ngazi hii adhimu ya ujana.Kwa nini nimesema hivii???.
1.Muda wa kijana ukifika kila kijana anajiona ndio wakati wake wa kula raha,(wa mjini husema muda wa bata) hapa ndipo wanaume hubadili wanawake na wanawake kubadili wanaume na hiki hufanya wengi kuaribikiwa na umri wao wa kuitwa vijana kumalizika mapema kwa kuchakaa mapema, pia hapa ndipo kuna maambukizo ya magonjwa ya zinaa. Usipapare na UJANA.
2.kudharau baadhi ya shughuli muhimu za kijamii zinazowahusu kwa kisingizio sio zao.mfano kwa asilimia kubwa ya vijana niliowahi kuzungumza nao kuhusu uchaguzi wa viongozi mbalimbali,uelewa wa katiba,kuudhuria makusanyiko mbalimbali ya kuelimisha walikuwa wanasema hayo ni mambo ya wazee.
3.Kwa siku za hivi karibuni tumeshughudia ongezeko la vijana wengi kukimbilia mijini wakidai wanaendakusaka pesa, binafsi nashindwa kuamini kama pesa zipo mijini pekee.kujituma kwa kuangalia fursa pekkee ndio njia ya kufanikiwa.Tujaribu kujituma kwa akili na kusaidiana na nguvu tulizonazo hakika tutafika tunapopataka.
4.Pia uwepo wa mitandao ya kijamii baadhi ya vijana tumeupokea visivyo na kusahau inaweza kutuingizia kipato,na kurahisisha mawasiliano ila wengi wetu tunatumia muda mwingi kufanya mawasiliano duni na kusahau majukumu mengine yanayotupasa vijana.
Mwisho napenda vijana wa leo tuwe mfano wa kuigwa katika maswala ya kimaendeleo. Tujiandikishe kwa wingi katika daftari la wapiga kura tuweze kuchagua viongozi waleta maendeleo. pia wenye shauku ya kuitumikia jamii wajitokeze kuomba ridhaa bila woga wowote kwa kuwa kuisaidia jamii ni kazi za vijana.