Sunday, 21 February 2016

Huenda hukupata hii habari kuihusu mechi ya watani wa jadi Young African na Simba SC. full Stori na picha

Mechi ya watani wa jadi Young African na Simba SC iliyotimua vumbi jana Tar Feb 20, 2016 katika viwanja vya taifa jijini Dar iliudhuriwa na baahi ya mawaziri na wabunge wakongozwa na waziri wa habari, tamaduni sanaa na michezo Mh. Nape Moses Nnauye.

NNA2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (kushoto)walipokutana katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Young African na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam.(Picha na: Frank Shija,WHUSM)
NNA3
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu wakati wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Young African na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam.
NNA4
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu wakati wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Young African na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

NNA5
Mabeki wa Timu ya Simba wakiokoa mpira wa hatari katika lango lao wakati wa mechi dhidi ya Yanga iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam.
NNA7
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akishangilia mara baada ya Donald Ngoma kuiandikia Yanga bao la kwanza mnamo Dakika ya 38 ya mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
NNA8
Mbunge wa Jimbo la Kilolo mkoani Iringa, Mhe. Venance Mwamoto akifuatilia mchezo kati ya Young African na Simba SC uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
NNA9
Mashabiki wa Timu ya Simba SC wakifuatilia mchezo kati yao na Yanga Afrika uliofanyika katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam. 

NNA2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (kushoto)walipokutana katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Young African na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa jana jijini Dar es Salaam.(Picha na: Frank Shija,WHUSM)
NNA3
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu wakati wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Young African na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa jana jijini Dar es Salaam.
NNA4
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu wakati wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Young African na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa jana jijini Dar es Salaam.

NNA5
Mabeki wa Timu ya Simba wakiokoa mpira wa hatari katika lango lao wakati wa mechi dhidi ya Yanga iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa jana jijini Dar es Salaam.
NNA7
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akishangilia mara baada ya Donald Ngoma kuiandikia Yanga bao la kwanza mnamo Dakika ya 38 ya mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam. 
NNA8
Mbunge wa Jimbo la Kilolo mkoani Iringa, Mhe. Venance Mwamoto akifuatilia mchezo kati ya Young Afrika na Simba SC uliofanyika katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam. 
NNA9
Mashabiki wa Timu ya Simba SC wakifuatilia mchezo kati yao na Yanga uliofanyika katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam. Hadi dakika 90 zinayoyoma Simba SC ililala kwa mabao 2 : 0

No comments:

Post a Comment