
Mwigizaji mkongwe wa Bongo movie Blandina Chagula 'Johari' amesema kwa sasa anatafuta kijana wa kuwa naye katika maisha.
"Mimi kwa sasa nipo mwenyewe (Single) akitokea kijana mwenye malengo na mwenye dhamira ya kweli nipo tayari kuwa naye" amesema Johari
No comments:
Post a Comment