Journalist•| Blogger•| Researcher•| Entrepreneur•| Real patriot•| Prospective husband•| Trapper changes
Friday, 6 February 2015
STORI MBILI GUMZO ZILIZOTOKEA JANA
Jana Tarehe 5/2/2015 Kulikuwa Na Kauli Mbalimbali Zilizosababisha Watu Kuzua Majadiliano Makubwa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Na Nje. Kauli Hizo Ni Kama Ifuatavyo.
1.Jana Katika Kipindi Cha Maswali Na Majibu Bungeni Mh Suzan Lyimo Aliuliza Swali Kuhusu Suala La Almashauri Ya Ruvuma Kuandika Barua Kwa Shule Zilizopo Katika Almashauri Kushurutisha Mwalimu Na Wanafunzi Kuudhuria Maadhimisho Ya Miaka 38 Ya CCM. Swali Ambalo Waziri Mkuu Alisema Kuwa Wale Ni Watoto Wa WanaCCM Hivyo Hakuna Makosa.(Mtoto Wa Nyoka Ni Nyoka).Majibu Haya Hayakuridhisha Kitendo Kilichozaa Majadiliano Makubwa Hasa Katika Blogs Na Twitter.
2. Bungeni Mh Eliatonga Mrema Mbunge Wa Jimbo La Vunjo Alitoa Taarifa Binafsi Ambayo Ilionekana Kumshtumu Mh Mbatia Mbunge Wa Kuteuliwa, Kwa Kusema "Nilipokuwa Natibiwa India Mh Mbatia Alinukuliwa Na Gazeti La Mwananchi Akiwaambia Wananchi Wa Jimbo Langu Kuwa Wasinichague Kwa Kuwa Mimi Naumwa Ukimwi Na Nitakufa Nasema Hafi Mtu Hapa." Pia Ripoti Hii Ya Afya Ya Ilizua Gumzo.
Ni Wakati Wa Wahusika Haswa Hawa Viongozi Kupima Maneno/Majibu Wayatoayo Katika Mazungumzo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment