Nimekuwekea brand new song kutoka kwa msanii wa HIP HOP kutoka Mkoani Kilimanjaro wa kuitwa Tommy Thomas akiwa ameshirikiana na Wolter Chilambo. Wimbo unaoenda kwa jina "Twende" alifanyikia katika studio za Frezzo record mikono ya Aidan machord. click HAPA KUDOWNLOAD Tommy Thomas ft Wolter Chilambo-Twende.
No comments:
Post a Comment